Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Oooh okay ngoja nije nijifunze Zaid kufuta eeeeehKwenye ile picha iliyo quotiwa unajua haijafutika bado!?
Oooh okay ngoja nije nijifunze Zaid kufuta eeeeehKwenye ile picha iliyo quotiwa unajua haijafutika bado!?
Ndio ndio dsm unakuja lini sasa? 😀😊Oooh okay ngoja nije nijifunze Zaid kufuta eeeeeh
SoonNdio ndio dsm unakuja lini sasa? 😀😊
Unijulishe sasa mummy!Soon
Sawa nitakujulishaUnijulishe sasa mummy!
Kwanza ntumie hela sijala hapa naumwa njaa karibu nife 😪
😉😇💖💖 Thanks mom nimeiona 🤗Sawa nitakujulisha
Sawa nitakutumia😊😊
😊😊😊😊😊😉😇💖💖 Thanks mom nimeiona 🤗
👊👊👊Bibi harusi mtarajiwa...🌝
View attachment 3034614
Kama hujatumia filter asee una mwili mzuri sana.Bibi harusi mtarajiwa...🌝
View attachment 3034614
Mchumba ongeza maombi sana, Mungu atatenda miujiza🙏Mchumba hupoi huboi
Kuacha pombe umekataa kabisa😂
Samaki m/citybar gani hii