Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu sisi wengine ni Wazee wa Umri, hao Wajukuu tumewaachia nyie Vijana πŸ˜œπŸ€—
mimi ni zuzu lkn sio zuzu kwa kiwango hicho! umetuachia vijana wakati kitoto ushakilegeza kinakuja kunywa juice...🀣
 
mimi ni zuzu lkn sio zuzu kwa kiwango hicho! umetuachia vijana wakati kitoto ushakilegeza kinakuja kunywa juice...🀣
Mkuu huyo ni Mjukuu wangu tu, si unajua utani wa Babu na Mjukuu πŸ€—
 
Nakuja babu niagizie kichaa cha diamond hapo kukukuku
Mjukuu unanipa kazi, hivi Umri huu nasemaje Mimi Kwa Waiter kwamba Babu yao nataka Kunywa Kichaa cha Diamond 😜

Anyways, nikuagizie ngapi lakini Mjukuu πŸ€—
 
Mjukuu unanipa kazi, hivi Umri huu nasemaje Mimi Kwa Waiter kwamba Babu yao nataka Kunywa Kichaa cha Diamond 😜

Anyways, nikuagizie ngapi lakini Mjukuu πŸ€—
Ni chakula hicho babu 🀣🀣🀣
 
nimechekaaa sanaaa!! Had babuu anahamasisha mafiga 3, kwanini mie nisifuate?
Ba tamuu jiandae kupata wasaidiziii, lol
Hahaha...............hayo mambo Mwaka 47 ilikuwa yanafanyika kwa Siri mno.

Nyie miaka yenu hadi Mwanaume anamtuma mwenyewe Mkewe awe na Kidumu aka Danga ili kumsaidia Majukumu

Madanga ya Mke wangu ~D Voice ft Meja Kunta
πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…