Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu ni wa kumpuuza,yani hata kum-quote tu ni kushusha brandiii πŸ˜ƒ

Dawa yake ni unamuacha tu anajitekenya weeee akiishiwa bando anaenda kutuliza matacco
Na kweli tunashusha brand kumjibu mjinga πŸ˜‚

Ila walau kapata air time kubishana na mimi, kakuza id. Ss hivi anajulikana IT wa mchongo.
 
Id zenyewe fake halafu ategemee watu wawe real.!!? Kaambiwa tunatafuta kazi humu??
Ni wa kumpuuza. Kushadadia picha fake picha fake inamuongezea nini maishani mwake? Sikujua kuna watu wanaweza kuwa serious kiasi hiki kuteseka na mambo ya mtandaoni.
 
Huyu uchoko umeathiri hadi ubongo, na hiyo katengeneza siku nzima
Hata akili za kujiongeza kakosa, kavamia page za watu anachukua picha ana-edit na alivyo mjinga hajui uandishi wako, na tarehe imemuumbua.!!
Njia ya muongo fupi.
 
Ni wa kumpuuza. Kushadadia picha fake picha fake inamuongezea nini maishani mwake? Sikujua kuna watu wanaweza kuwa serious kiasi hiki kuteseka na mambo ya mtandaoni.
Ni maajabu kwa kweli, halafu anajiita mwanaume. Tukimbwambia shoga anakasirika, mwanaume timamu hawezi kufanya ujinga km huo. Wenzie wako busy wanacheck EURO yy yuko busy kutengeneza vitu vya uongo.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ Hatareee.!
Wapumbavu hawa, naona wanachezea sharubu. Mods wamekuja wameweka sawa nikapotezea, kumbe wameenda kuunga picha alafu walivyo wajinga wakasahau selfika ilifungwa hiyo tarehe

Haka kachoko kalikua kanasema kanavizia demu humu sijui ili iweje, lakini si aanze na huyu shangazi yake mwenye kichaka
 
Tumoghele MBEYA
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Hii baridi ni hatari


Haya sasa
Ngoja nisome uziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu huko ss hivi maji wanakutana nayo kwenye supu na chai πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Km dar nasikia baridi huko si ndio balaa unakumbatia jiko.

Nguniani zangu hazijafika nimeandaa kipome kwa mbwembwe zote 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…