Selfika na JF: Snap it. Show it

Vinini??? 🀣🀣🀣🀣
Ila Mbaga una vituko sana.!! Ushakuwa mwenyeji wa selfika, utaacha kuchangia zile nyuzi zako za majukwaa mengine.
Huku nipo kwa ajili yako love, tukimalizana hapa narud maeneo yangu 😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ma ex zangu wa JF ni wapolee nyie, nachowapendeaa kwenye kutoa [emoji383], wako sharp na hawalalamikii.

Kuna wadada chuoni walikua wananionea wivuu, nikienda cafeteria bas najisosomolaa mwenyeweee!!!

Wotee wametokaa humu baada ya mie kuachanaa nao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu usinambie uliwapanga humu?? Ila umepata mashem wapole, halafu inaonekana wastaarabu km boss wa kampuni.
Ila wewe sasa ndio balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatariiiii na nusuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na unavyopenda pesa sasa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Km wanawake walikuwa wanakutumia faranga sembuse wanaume??

Uduguu rudiana na boss kubwa nipate bando mie, mwenyewe shem wangu alikuwa ananitumia vocha ya liten maisha muruaaa.!!
Shem nimemmiss kwa kweli
 
Hatariiiii na nusuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una hatari wewe.!! 🀣🀣🀣
Mimi nilivyo muoga, nikiwa na mwanaume mmoja basi ni huyo huyo hata mtu akinitongoza naogopa!! Naona km ananiona nisivyojiheshimu 🀣🀣🀣🀣

Amenishinda mpk dada nimeona kwenye simu yake jana anawadanganya wanaume wawili, NIMECHOKA πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mie afu omba omba wa wazi wazi, sijifichii naomba liveee!!!

Uduguuu sitakiii had wanawakee wananitumiaa helaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]

Wee boss's sikiliza kilio cha shem wakoo!!! Em rudi kwangu, yeye apatee bundlee.

Ila kusengenya dhambi, boss anatoa hela bhanaa, nilivyo mkaksi na hela hata sijistukii, kwa week hata mara 3 naombaa hela afu siogopi na sijari lolote na ninapewaaa.

Bado kwa kijana handsome, had nlimfundisha namna ya kuwapiga wazazi wake wamtumie ili anipe mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimevuka viwango vya dhambiiii!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu ba tamu mtata ndo ananiogopesha hapo tyuuh, vinginevyoo mbonaa napandanishaa CD mie nnajarii bas.

Aaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shem asikie kilio changu, kapo yenu ndio kapo yangu pendwa humu. Nilikuwa nacheka muda wote unavyompiga biti shem ukiona ananyapia sehemu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna siku alimtania kivuruge mmoja si nikashangaa kapandisha uzi wakati mwenzie alikuwa anamtamia nilichekaaa mpk machozi 🀣🀣🀣🀣 ila jf ma dish mengi.!!

Nikaona anauliza kabisa β€œboss wa kampuni ana mtu?? Sio nimchukue muanze kulalamika.”
Hebu shem rudi nimekumiss mwenzio 😭😭😭
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu ba tamu mtata ndo ananiogopesha hapo tyuuh, vinginevyoo mbonaa napandanishaa CD mie nnajarii bas.

Aaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣🀣 uduguu unapandanisha km CD!!
Watakuja wagongane wauane shauri yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] couple ilivurugaa watu ilee hatariii!! Majamaa yanamfata PM awape details zangu!!! Sio wadada wala wazee kuhaha kujua ni kweli tunadate? Woiiiiiih

Boss mwenyewe ananikubalii kinoumaaaa!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uduguu unapandanisha km CD!!
Watakuja wagongane wauane shauri yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mie nabebishana na boss hapa majukwaani, handsome boe anapiga kimya kimyaa!! Mie ntakuja kufa mwili unatetema km jenerata bovu LA kingimax. Khaaaah.

Ex zanguu mrudii selfikaa, mamsapuu wenuu nawahitajii hapaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…