Itakua nilitingwa jamani hakii sijawahi bahatika kukuona!Kwani nikiwekaga wewe huwa unakua wapi? Juzi nilishusha album nzima ila mchumba akanipiga stop ety wataniiba😂🤸
Subiri anipe ruhusa! Akinuna huyu mimi leo nitashindwa hata kulaItakua nilitungwa jamani hakii sijawahi bahatika kukuona!
Naomba nifanyie manuva Jioni yangu iende vizure jamani kuibwa ibwa ni tabia ya mtu tu mchumba aondoe wasiwasi
Picha ya Mwaka 47 hiyo ujue 😜Halafu babu unazingua 😍😍😍
Mbona kijana umemzidi mpk mjukuu wako yule uliyechukua mahari, yeye mzee ujue lol!
Babu ndiomana kina bibi wanapishana vikumbo, kumbeee nishajua 🤭
Leo Jioni Wazee tuna kikao ili kujadili hoja yako, kutokana na ile zawadi uliyoituma Jana huenda kikao kikaridhia kupunguza kidogo mahari ya Mjukuu wetu 🤗Punguzeni posa ili nimchukue sasa 😅
Mvumilie tu, anasema atajirekebisha mkioana 🤗😜Babu huyu mkwe wako ameshaanza kunishinda tabia
😅😅🙌babu upo masaa ya mbele sana,,sipatii pcha utoto wako,, achana na ujana🤼♀️😌 ulikua mjanja sana
😂🤭🤭🤭🤭🤭!Tuanze ku selfika sasa..
Weka picha yako halisi, acha kudownload zile za insta 😅.Una uhakika nikiweka hautonuna? Usiniponze😂
Ndio maana nakukubali Mzee. Ukiwepo, hakuna kufeli.Leo Jioni Wazee tuna kikao ili kujadili hoja yako, kutokana na ile zawadi uliyoituma Jana huenda kikao kikaridhia kupunguza kidogo mahari ya Mjukuu wetu 🤗
Wewe hujaona picha niliyoiweka unakimbilia kusema sio halisi😎Weka picha yako halisi, acha kudownload zile za insta 😅.
Next time ukiweka picha ya uongo, naweka yako ya ukweli ili unune 😎
Sauwaasauuwaaa Siku akikuruhusu ukitupiamo naombapo uniite ( In Bukoba vijijini accent 😊!)Subiri anipe ruhusa! Akinuna huyu mimi leo nitashindwa hata kula
Weka kwanza yako nioshe macho ambayo shepu inaonekana vizuriMjuvi wa vanga amefun
Sauwaasauuwaaa Siku akikuruhusu ukitupiamo naombapo uniite ( In Bukoba vijijini accent 😊!)
Asante kushukuru, hujamboasante wajameni 😌🤼♀️
Bonge ephen kwenye moja na mbiliWewe hujaona picha niliyoiweka unakimbilia kusema sio halisi😎
Halafu picha yangu hauna tulia
Wewe huyooWeka kwanza yako nioshe macho ambayo shepu inaonekana vizuri
Eeh Yesu Mariah na Yosefu nakemea pepo wa wachuchu kutoleana mbofu IJN!!🙏Wewe hujaona picha niliyoiweka unakimbilia kusema sio halisi😎
Halafu picha yangu hauna tulia
Mkwe nimekumiss! Weka picha ya kijana wako nifurahi🤸Wewe huyoo
😂Amen!Eeh Yesu Mariah na Yosefu nakemea pepo wa wachuchu kutoleana mbofu IJN!!🙏
Aimmmeeednn hallelujah 😊😊😊