Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii taarifa nilikuwa nayo tangu last month, japo alisema anakuja kwako ulikuwa umemwita.

Kwakuwa Babu yenu Sina noma, nilimtaarifu na Bibi yenu ili akubali Mjukuu aende huko Mbagala tukijua anakuja kwako 😜
Babu mkwe wako ameshaanza gubu
 
sema na izo pamba kali nitaziomba nimpe mkwe wako,,yupo kama anavaa magunia hukuπŸ€Όβ€β™€οΈ
Hahaha...........umenifanya nicheke kwahiyo mnataka niwape urithi wa Mashamba pamoja na Pamba za Babu yenu hapa 😜
 
🀣🀣🀣🀣
 
kumbuka umesema tuachane na miti,,means wote si ndio 🀣 sasa apo nmejtolea mfano mimiπŸ€Όβ€β™€οΈ
Kitu kikiwa muhimu haimaanishi nyie ndo mfanye, hivi nyie watu wa ulaya ndogo mmemkosea nn Mungu....baridi ziwaadhibu nyie bado mlime mazao yanayochukua zaidi ya miaka 10 kukomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…