Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha πŸ˜‚,, kufata mkumbo sometimes bwan,,m nyumbani apa hata bustani sina vile sipendi ukulima
Sio mkumbo sema si unakua unalia timing wakenya unawauzia yakiwa shamba bado mabichi, dadeq yule msomali wa tabora akakataza wakenya kuingia shambani
 
Huku Nyakibimbiri nilipo network hadi nipande huu ya kichuguu mamy sikusikii vizuri!

Ngoja nishuke nikapike yugali kwanza ntarudi kwenye kichuguu jioni.
wewe upike ugali leo na mimi najua una ka party kadogo ka kusherekea karma?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…kwanza leo hata njaa hausikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…