Selfika na JF: Snap it. Show it

mwaka jana mbona tu apo, ilikua hio bei,sasa si unajua wabongo walivoona ivo woooote wakalima mahindi,,so yamekua mengi bei ndogo
Ndo ufala wa kutegemea shamba, mwaka huu gunia 40000.....hapo ukipiga hesabu ekari Moja trekta inalima kwa 45000, mbegu kwa ekari mifuko minne ni 72000, vijana wa kazi 50000, palizi Moja & mbili 50000, uvunaji na kila kitu 100k....afu unaambiwa debe 40k 😁😁inafika mahali unaamka usiku unatukana kila mtu
 
Hahahaha 😂,, kufata mkumbo sometimes bwan,,m nyumbani apa hata bustani sina vile sipendi ukulima
 
umeandka kwa uchungu wii,,sema mwenye pcha zako npo nae PM kasema anatuma humu no mara waaaaah.
Na wewe ukaamini?? Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Utasubiri sana kuona papa langu, vuta kiti ukae 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…