Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa jina la yesu nabariki hili group la selfika lianze Kwa Amani siku ya Leo.

Naenda kinyume na roho za makwazo, wivu chuki na umbea.

Naachilia damu yesu itamalaki humu watu waishi Kwa upendo.

Ameen

Ameen
Amen πŸ™πŸ™πŸ™
 
Somo zuri saana,

Hakika mliishi kwenye Zama njema, Sisi tupo na GenZ ya Tanzania, balaaa tupu. Bora Ile GenZ ya kenya
 
Ya moyoni mtu hawezi kusema labla mhusika awe malaya asiye jali lolote we unafanya masihara kipapa live kiwe Jf 😁😁
Mi na hasira zangu hizi najiuwa kwa kweli
🀣🀣🀣🀣🀣 Nuzu ntakuchapa niache.
Hii selfika modes wameizila na wameichoka na vimbwanga vyake.!!

Sasa wifi kwann ujiue? Si utakuwa unajikosea nafsi yako. Kwani tutakujua? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…