Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha kutafuta support, huyo coca hanifahamu, wala sijawahi ku chat nae inbox, sijawhi kutana na member yeyote humu, nachojulikana jf nzima ni kuchukia ushoga na kuupinga, hapa unapoteza nguvu zako bure.
Wee mtu hebu acha kuniweka kwenye drama kila mda, hutulii na yakoo, mbna mie sina time nawee? Bas kuna wenzio wananililia huko.
 
We shangingi tulia, nyie watatu mmeshindwa na coca mmoja ndio utaingia kwangu?? Kwann mmekataliwa mpk mmekimbia? Kwani mko km mazombi?
We utatoa machozi na story zako za kutunga, moyoni unaelewa, bingwa wa kufake life unashindwa vipi ku fake story?

We ni mbaya, sio ubaya tu na dishi limeelekea kusini.

kwanini unawasema wadada wazuri wa humu na sura yako mbaya hadi wanakimbia?
 
Pisi kali si wewe hebu tupia dk za jioni unaweza kubahatisha kidampa wetu wa selfika.
 
We utatoa machozi na story zako za kutunga, moyoni unaelewa, bingwa wa kufake life unashindwa vipi ku fake story?

We ni mbaya, sio ubaya tu na dishi limeelekea kusini.

kwanini unawasema wadada wazuri wa humu na sura yako mbaya hadi wanakimbia?
Unanichosha mimi kujibizana na kidampa asiyejikubali huo muda sina. Ukijikubali km wewe kidampa na umekosa soko mpk mmefurumshwa na coca ndio ulete milonjo yako tubishane. Halafu we si una pic zangu, em lete tuone. Naona unajitahidi kunijua ila umeshindwa. Zile picha za kudownload zimefichwa lete ambazo hazijafichwa km kweli we kidume.!! Unavyoona ww hujikubali unajua wote tuko hivyo?
 
akhiiiii leo kivumbiiii
 
We usinipotezee muda ukweli unautambua moyoni.. picha zako nikirudi kwenye history browser nitazipata tu, ntazileta hapa, huna lolote..
 
We usinipotezee muda ukweli unautambua moyoni.. picha zako nikirudi kwenye history browser nitazipata tu, ntazileta hapa, huna lolote..
Lete na ulete na og zake, ila jikubali km huna marinda ni kidampa. Haya kwender
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…