Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Naonaga kwenye tivii tuu
Naonaga kwenye tivii tuu
Mwanamziki?Mia Khalifa
Njoo basi jamani tupasheYaaani....dah. ningetia timu hapo

Ngoja nimwambie Mshana Jr afanye vitu vyake shamba lisitoe mahindi kabisaHiii hapa.
View attachment 1281872
Aaahhh wapi!!Unatafuta english figure wenyewe mnasema....
Naonaga kwenye tivii tuu
Leo mepalilia sana hili shambaHiii hapa.
View attachment 1281872
Baa gani eti jamani!!uko kwenye bar kwenu hamna
Ugali na dagaa wa mafuta tena wale wa mwanza ayaaaaaa na kachumbari pembeni pilipili na tunda la parachichi ayiiiiiiAaahhh wapi!!
Hivi ugali unaiva baba paroko
Ooooh!Mia Khalifa ni mwanafalsafa.
![]()
Duh! PoleNitauwa mtu kabla wiki haijesha.. Wana wamekata dirisha na kutembea na smart 47incView attachment 1281319View attachment 1281320
Mweeeh!!Leo mepalilia sana hili shamba
Eeeeh bwana eeh!
Wacha weeeUgali na dagaa wa mafuta tena wale wa mwanza ayaaaaaa na kachumbari pembeni pilipili na tunda la parachichi ayiiiiii



Baa gani eti jamani!!
Huku ni vibanda, vinauza banana tuu
Yote hayo ya nini eti jamani!! Ugali na dagaa na maji ya kutosha!!Ugali na dagaa wa mafuta tena wale wa mwanza ayaaaaaa na kachumbari pembeni pilipili na tunda la parachichi ayiiiiii