Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Na kichumvi pia kipo mkuu!!Kuna kisukari mkuu
Na kichumvi pia kipo mkuu!!Kuna kisukari mkuu
Kisukari hailetwi na vitu vitamu mkuu kama soda fanya tafiti
Leo sikaeibishi mtu jamani!!Nmejikaribisha mwenyewe
Na kichumvi pia kipo mkuu!!
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!Umenitia motisha na hizo sifa (si unanijua
navyopenda sifa) nikataka nipost kuunga juhudi za sisi tuliobaki sample. Sasa nikakumbuka nikipost tu picture wewe utajitoa JF; si ntakufwaaa. Em badilisha hiyo pledge iwe in terms of money basi
Nakazia....ila pia hebu fanya mpango wa pic[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnyakyusa na kubembeleza wapi na wapi?
Nasema hiviii, NapashaaView attachment 1281856
Baba paroko jamani, njaa inatoka wapi eti jamani!Utasikia njaa muda sio mrefu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Hata me najua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikishiba naenda gym mimiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona kama na mm niko kwenye hili eneo [emoji1]
Tunapiga na magoti kuomba pic yako mambo ya kutuonyesha wewe ni mkulima hatutaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaaani....dah. ningetia timu hapoLeo sikaeibishi mtu jamani!!
Unatafuta english figure wenyewe mnasema....Baba paroko jamani, njaa inatoka wapi eti jamani!
Mia KhalifaNi nani huyo??
Tayari.Tunapiga na magoti kuomba pic yako mambo ya kutuonyesha wewe ni mkulima hatutaki