Umenitia motisha na hizo sifa (si unanijua
navyopenda sifa) nikataka nipost kuunga juhudi za sisi tuliobaki sample. Sasa nikakumbuka nikipost tu picture wewe utajitoa JF; si ntakufwaaa. Em badilisha hiyo pledge iwe in terms of money basi
Na kuwafanyia mambo mabaya kabisa.. Wanashikwa na haja wakifika chooni hakuna kitu wakitoka nje tu haja inabana wanajisikia kunya wakirudi ndani hakuna kitu... Siku nzima huo ndio utakuwa mchezo