[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemuacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] napenda kuwa single dada yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had majirani watajiuliza huyu kaanza uchizii au.[emoji23][emoji23][emoji23] sawa mahi lavu, lipa namba. Unga wa mbwa umeisha, na dada mwezi huu jukumu lako kumlipa mshahara.!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeeh.!! Mbona ghafla?? Nawe ushaaga mashindano?? Basi familia yetu tuna gubu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyiee mnanichekeshaaa hapaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena gubu lisilo na tiba mdogo wangu. Tutakaa bia wanaume...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiomana tunaitwa βwapwekeβ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Tuna magubu familia nzima, kasoro wewe tu naona. π π π π πNyiee mnanichekeshaaa hapaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ Mimi muoga wa kupigwa, ila gubu sasa?!!! Kuna muda mpk ananiziba mdomo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie ba tamu nikimtibua huwa ananipa neno 1 nanywea maji, hapo ntaanza kumchamba yeye had atachukia.
Kuna siku nilijichanganya afu tulikua wote Pa1, nilipewa kelbu ya shavu, nililia ile siku, sikumsamehe had alipooni pooza na ka farangaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapenzi yanataka heka heka.
Nimecheka mpk usingizi umekata πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu jamaniiiii, cpati picha umecheka vipi hapooo, woiiiiiiih
Na mimi natamani ukate tamaa ili usije kuutesa moyo wako, mana nikukaribisha kwenye mahaba yangu utakuwa chizi na utanena kwa lugha. Utaanzisha drama humu nitakuwa sipumui. πππNaelekea kukata tamaa π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mie ndo limezidi, kuachika si ndo nlianza mie, nyie mmefuataaa. WoiiiiihTuna magubu familia nzima, kasoro wewe tu naona. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
πππππ Nataka kuja kuchambwa baadae mie!! Huyo namzingua tyuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie mko serious? Msinichekesheee
ππππ Anapewa majukumu madogo madogo km ataweza, ndio tuanze yale ya kausha damu yenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had majirani watajiuliza huyu kaanza uchizii au.
Fungua pm yako plz nkutumie namba yangu afu utaamua mwnyw kunichek au kunipotezeaNa mimi natamani ukate tamaa ili usije kuutesa moyo wako, mana nikukaribisha kwenye mahaba yangu utakuwa chizi na utanena kwa lugha. Utaanzisha drama humu nitakuwa sipumui. πππ
Ukikaa usiku jf ww ni mpweke πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nimechekaa km mwehuu, ba tamu wakati wa kwichi kwichi ananibeba na tunazurura chumbani huku naulilia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi muoga wa kupigwa, ila gubu sasa?!!! Kuna muda mpk ananiziba mdomo.
Jamaa mrefu afu anakula tiz, basi nikimzingua ananinyakua km kifaranga [emoji12]
Hapa nimempigia kaniambia umeanza fujo zako ushanimiss soon narudi. Hapa nimejiandaa kuchafuka migift [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Naona hii week haishi haraka, yani km nipeleke masaa mbele [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilijua tyuuuh!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka mpk usingizi umekata [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahNa mimi natamani ukate tamaa ili usije kuutesa moyo wako, mana nikukaribisha kwenye mahaba yangu utakuwa chizi na utanena kwa lugha. Utaanzisha drama humu nitakuwa sipumui. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naona naongoza π€£πππTuna magubu familia nzima, kasoro wewe tu naona. π π π π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hukomiiii tyuuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nataka kuja kuchambwa baadae mie!! Huyo namzingua tyuu!!