Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,158
- 55,200
Mi kama mpira upo naweza keshahata saa nane safi tu
nipo naangalia kix π₯²π₯²Mi kama mpira upo naweza kesha
We kidampaaaa utaacha na kuachika mpaka usemeeee
Lamomy kwanini unamtesa shem hiviii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3021007
Atakula jeuri yakeπππ mpare bahili huyo
Ww mtoto wa shangaz kumbe upo,,Hebu kuja nyumban kwangu tutanianeCazeee ake huyooo!!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Wanaojificha huwa wanakuwa wamezaliwa kwenye familia za maninja au wale maalakhaidaMwanaume HB jf nzima πππ
Unapita naked sio shida zako, hakuna kujificha KIDUME S KIDUME cha mwandiga hiko π
Coca cazee wako kashafika huku
Bff huyo Mbaga mimi simtaki, siwapendi wapare wachawi na visirani sana π€£π€£Atakula jeuri yake
Karibu kanisani kwetu πNinong'onezeee bas uduguuuu!!!
ππππ hatareeeeLamomy kwanini unamtesa shem hiviii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3021007
Hawana mvuto wa kiume πππWanaojificha huwa wanakuwa wamezaliwa kwenye familia za maninja au wale maalakhaida
Nakujaaa cazee akee [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Ww mtoto wa shangaz kumbe upo,,Hebu kuja nyumban kwangu tutaniane
Cazeee ake!! Handsome boe!!
Noumaaaah!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee
Nipe location nisogee hapo uduguuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu kanisani kwetu [emoji23]
Uduguuu karangi pambee ππππLamomy uduguu naomba nitengenezee wix ya kienyeji nitoe sugu za magoti.
Au unatakaa ung'aree pekee ako tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3021739
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu em nitengenezee wix bhanaaa..Uduguuu karangi pambee [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mtoto mkaree unangβaa km kioo, uduguu wangu lizuriii bana mwah [emoji8] mwah [emoji8]
Toto la Songea uko vyedii sanaaaaaa
Hilo halina ubishi miaka buku unakimbiza. Huhitaji wix, ww unahitaji raha za ba tamu
Hapana wix achana nayo uko π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu em nitengenezee wix bhanaaa..
Ba tamu nimemcharuaa leo, anasemajee nakufata huko huko kwako, nkamuambia njoo nikuitie mwiziii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bas ex kijana wa JF, anahaha huyooo, noumaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mie nisipo mchokoza ba tamu sijisikii raha, huwa namuambiaga mie sipendi amani, vita vita ndo nataka.Hapana wix achana nayo uko [emoji108]
Sasa ba tamu umemcharua nini?? Tatizo tuna gubu sana familia yetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Na akija atakuzagamua mpk utafute feni likupulize [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo kijana wa jf naye anaumendea mzigo?