Selfika na JF: Snap it. Show it

dada Jitahidi uwe una kunywa maji ya uvugu asubui hata nusu Lita.
Kisha weka na limao, Ina saidia kupunguza mwili
 
Lamomy na Dr Lizzy

Je niache hivi au? Maana nimependa zile dreads alizosuka Noel.
Nimeshawishika, sasa kuna mtu kanambia nikiweka dreads nitachekesha umma.


Au ndo bichwa langu halifai kwa dreads?View attachment 3020797
Uduguu pambeee 😍😍😍😍
baki huko huko soon na mimi narudi nimechoka kuvaa mawig na kuvutwa ubongo 🀣🀣🀣
 
Uduguu pambeee

baki huko huko soon na mimi narudi nimechoka kuvaa mawig na kuvutwa ubongo
Uduguuu unajua nimemuonea wivu Noel, zile dreads anavo zishika shika na kuzirushaaa, yaan had wivu haswaa.

Tatizo kuna li mtu limeni cancel kuwa eti nikisuka dreads ntachekesha.

 
Uduguuu unajua nimemuonea wivu Noel, zile dreads anavo zishika shika na kuzirushaaa, yaan had wivu haswaa.

Tatizo kuna li mtu limeni cancel kuwa eti nikisuka dreads ntachekesha.

Kwahiyo ww Noel ndo kakushawishi?? Baki hivyo hivyo bana, mi natamani kurudi nilikotoka kwenye low cut. Leo nilikuwa natazama pic zangu nimewaza nataka nifanye maamuzi magumu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…