Selfika na JF: Snap it. Show it

achakufakamia viporo utapasuka mwili🀣🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚Na mwili wangu huo lakini juzi nilikua natembea na mchumba angu, nyuma kuna mzee akamwita mchumba angu akamwambia 'Aisee unakojolea pazurii'
Mchumba angu bichwa hilooo! We huogopii?πŸ€ΈπŸ˜‚
 
πŸ˜‚Na mwili wangu huo lakini juzi nilikua natembea na mchumba angu, nyuma kuna mzee akamwita mchumba angu akamwambia 'Aisee unakojolea pazurii'
Mchumba angu bichwa hilooo! We huogopii?πŸ€ΈπŸ˜‚
acha uongo kusimama kwenyewe hapo huwezi umeshikilia ukuta utaweza kutembea barabarani kweli?🀣🀣
 
[emoji23]Na mwili wangu huo lakini juzi nilikua natembea na mchumba angu, nyuma kuna mzee akamwita mchumba angu akamwambia 'Aisee unakojolea pazurii'
Mchumba angu bichwa hilooo! We huogopii?[emoji1732][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiii khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…