Hongera Mjukuu, kusema kweli ulipendeza sana kwenye huo mtoko π€[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu huyu ni mie, kwan umenisahau mjukuu wako mara hii?
Leteeee wanune mi sipendi amani kabisaa.!! π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakujaaa nayoo nikiwa nimelipukaaa.
Shukrani Mkuu. Japo ntajipatia kesi ya mauajiHatari kiatu kiko π
Hilo ukikanyaga nyoka lazima aage dunia
Alindwe watamuiba π€£π€£π€£Hongera Mjukuu, kusema kweli ulipendeza sana kwenye huo mtoko π€
Ingekuwa enzi zangu, ningekupa Ulinzi hadi unapokwenda ili kuepusha nisiibiwe maana najijua Kwa Wivu ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, afu hamna, mbna boss alikua anajua.[emoji23][emoji23][emoji23] tamba tamba uduguu muda wako huu.!! Hii ba tamu ndio ilikuponza ukaachika na boss [emoji1787]
Hilo tutaongea hapa watu wengiπ€ΈMimi nataka nikuzingatie hivyo hivyo wembamba nitaukuta mbele huko π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu nimechekaaa sanaaaHongera Mjukuu, kusema kweli ulipendeza sana kwenye huo mtoko [emoji847]
Ingekuwa enzi zangu, ningekupa Ulinzi hadi unapokwenda ili kuepusha nisiibiwe maana najijua Kwa Wivu [emoji12][emoji119]
πππ Una viatu km vya ex wangu πShukrani Mkuu. Japo ntajipatia kesi ya mauaji
View attachment 3020156
Amani itokee wapiii? Mbona shetty hajatuzoea hivii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leteeee wanune mi sipendi amani kabisaa.!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi tuishie hapo...nimeongezea na vingine.πππ Una viatu km vya ex wangu π
ππππ Kwanza tukadai vyombo vyetu uduguu.!!! Ila waja wakakuharibia husiano lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, afu hamna, mbna boss alikua anajua.
Yeye si ana mke na michepoz ya kuwanunulia vyombo dinner set.
Wee umesahau? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza sarakasi sasa maongezi lini ππHilo tutaongea hapa watu wengiπ€Έ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alindwe watamuiba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu nipe tips za kupunguza kitambi ila isihusishe dietTo a man who hasnβt worked out and is not planning working out today!!π
WHY ARE YOU GAY?π€
Amani kwiyoo ππAmani itokee wapiii? Mbona shetty hajatuzoea hivii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri nimalize kula pilau la iddi nakurudia tupange mambo yetuPunguza sarakasi sasa maongezi lini ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waliona nafaidi mnoo, ila uduguu nina nyotaa, boss nilikua nae winzaa winzaa, afu hakunificha km bangi, aliniweka wazi kwa umma km almasi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwanza tukadai vyombo vyetu uduguu.!!! Ila waja wakakuharibia husiano lako
πππ Uko sexNikiwa ktk pozzi la kumoagawishaa ba tamuu, hii bikini alinunua yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3020163
Hahaha...........mwambie aharakishe mchakato maana waswahili walisema "ngoja ngoja atakuta mwana si wake"ππ€£π€£π€£π€£ Subiri kwanza muoaji apatikane, kuna Mangi mmoja mkusanya ushuru namsikilizia
Embu tupia nyingine nikikusubiria umalize hilo pilau lako π€Subiri nimalize kula pilau la iddi nakurudia tupange mambo yetu