Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiendelea hivi utafanya Wazee tupokee hata ile nusu mahari iliyoletwa na Kijana wa Mzee Mbilinyi, maana haufai hakiyanani 😜
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukoo wa Mbilinyi siwataki, labda wa kina Ngailo, Ntulo, Msigwa na Tweve kidogoooo.!! Kina Mahenge nao siwatakiiii
Halafu babu mimi nawapenda kina Mangi mwenzio 🀣🀣🀣
 
Hahaha........Mkinga na Mangi hapo mtoto lazima azaliwe genius πŸ€—

Wazee tunasubiri Wajukuu tu 😜
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ujinga unautoa wapi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie ba tamu ninae, na natambaa nae.

Mie na Ba tamu tukilala kitandani, PhD ya ME iko paleee.

Wee huogopiiii? Afu nisiwe jeuri? Wee kuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha........Mkinga na Mangi hapo mtoto lazima azaliwe genius πŸ€—

Wazee tunasubiri Wajukuu tu 😜
🀣🀣🀣🀣 Subiri kwanza muoaji apatikane, kuna Mangi mmoja mkusanya ushuru namsikilizia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie ba tamu ninae, na natambaa nae.

Mie na Ba tamu tukilala kitandani, PhD ya ME iko paleee.

Wee huogopiiii? Afu nisiwe jeuri? Wee kuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tamba tamba uduguu muda wako huu.!! Hii ba tamu ndio ilikuponza ukaachika na boss 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…