Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,580
Jambo likija hapa huwa linajibiwa hapa, likiwa limekuja huko kwingine linajibiwa huko kwingine no remorseEeee mkutane tu mpigane yaishe...hapa jukwaani mnajichoresha tu
Nimewafuatilia siku ngapi hizi hadi nikatamani kuwa-PM muache mnachokifanya ila nikaogopa maana sijakuzoea wewe wala Countrywide
Hainihusu lakini nashauri tu hivyo hivyo...malizeni mambo yenu hata PM maana kwa mujibu wa Countrywide ni kwamba huko kwenye namba za simu umemlamba block π
Hapa jukwaani sio salama
Haata hivyo ushauri wako umechukuliwa, relax and thank you
Una maneno mengi sana.. yani unajibizana na ex wako as if ni shoga yako..Jambo linalonihusu huwa nalijibu, hiyo kukausha kwangu haipo ni utaratibu tu ambao nimeuweka
Wanaume hatuna hayo mambo? Sawa, lakini kwanza mm naamini vipi kama ww ni mwanaume?
Naonekana chenga kwa nani? Kwako au kwa nani?
Yameisha sis wala haitojirudia tena. Nimefata ushauri wako. Mimi halafu kwa huyu bwana sina hata la kusema nampenda nimezama sijielewi πEeee mkutane tu mpigane yaishe...hapa jukwaani mnajichoresha tu
Nimewafuatilia siku ngapi hizi hadi nikatamani kuwa-PM muache mnachokifanya ila nikaogopa maana sijakuzoea wewe wala Countrywide
Hainihusu lakini nashauri tu hivyo hivyo...malizeni mambo yenu hata PM maana kwa mujibu wa Countrywide ni kwamba huko kwenye namba za simu umemlamba block π
Hapa jukwaani sio salama
Yameisha bro πNo, nipo kwenye mode nyingine, am seriously very very seriously usiniite shem, we na jamaa wako mnazingua kinoma, you know? let's take it seriously..
ππYameisha sis wala haitojirudia tena. Nimefata ushauri wake. Mimi halafu kwa huyu bwana sina hata la kusema nampenda nimezama sijielewi π
Ndiomana sijibu kitu chochote kibaya.
We ni ms3ng3, huyo manzi mwenyewe i was not serious, nikiwa serious namfuata PM, mi nilikua nachangamsha uzi tu, fvck u Bro...Kumbe ushauri wote ulionipa ni ku-take advantage ya kuomba? Dogo nasikitika kukuambia huna akili
Watu wambea wanakufundisha umbea dada yangu khaaa!! π€£π€£π€£π€£Huwezi amini kuna mdau alinitonya huko PM nije kwa huu uzi nijionee yanayoendelea
Mie wala sikuwa na habari π€£
We ni mjinga, Bro unakuwa mjinga mjinga..Yameisha sis wala haitojirudia tena. Nimefata ushauri wako. Mimi halafu kwa huyu bwana sina hata la kusema nampenda nimezama sijielewi π
Ndiomana sijibu kitu chochote kibaya.
Watu wambea wanakufundisha umbea dada yangu khaaa!! π€£π€£π€£π€£
πππ nimefanya nini tena?? Yamekuwa hayo? Coca shem ananitukanaWe ni mjinga, Bro unakuwa mjinga mjinga..
Sorry nilikua nam quote huyo jamaa yako, am sorry..πππ nimefanya nini tena?? Yamekuwa hayo? Coca shem ananitukana
Am sorry..sππ½ππ½ππ½Yameisha bro π
Maneno mengi unayapima kupitia nachoandika?Una maneno mengi sana.. yani unajibizana na ex wako as if ni shoga yako..
Hilo nilikuwa nalijua vizuri km watu wako wanafatilia na wanajadili, sababu unafki wa jf naujua vzr kuliko unavyofikiria.!!Ndio ujue maadui ni wengi na unafiki ni wa kutosha
Mnachokifanya hapa kinaonekana na watu wengi kuliko mnavyodhani,watu wanaitana kimya kimya na wanachekelea kinachoendelea....kiufupi mmekuwa kituko
Lakini labda inawezekana msione tabu kwasababu hatuwafahamu
Mnisamehe tu kwa kuandika niliyoandika leo,naishia hapa.
Mm huwa situkani but nakupelekea Moto mdogo mdogo, nimeona cocastic amekuelezea vizuri mlikua pamoja zamaniWe ni ms3ng3, huyo manzi mwenyewe i was not serious, nikiwa serious namfuata PM, mi nilikua nachangamsha uzi tu, fvck u Bro...
We na cocastic si kundi moja.. mwanaume una maneno kama Mange..Maneno mengi unayapima kupitia nachoandika?
Nimetoka kuona mna bargain na cocastic? Mnakumbushana mlianza kufatiliana zamani, sasa hii tuiitaje?
Umeanza kuchanganyikiwa sasa, angalia ulichojibu na uliyemjibu.We ni mjinga, Bro unakuwa mjinga mjinga..
Sipendi hata kwa utani uwe unasema mi ni Shem wako kwa coca.. sipendi.. you know?πππ nimefanya nini tena?? Yamekuwa hayo? Coca shem ananitukana
Sasa kati yako na mimi nani anaonekana yupo chama kimoja na huyo coca, mwanaume una maneno kama manzi...Umeanza kuchanganyikiwa sasa, angalia ulichojibu na uliyemjibu.
Si ajabu mlikua chama kimoja na coca zamani