Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha asanteeeee,,,ila kwenye kuongeza herufi apoπŸ˜ŒπŸ™ŒπŸΎ
 
Hilo lamsingi saana. Najitolea kuwa mshenga. Hilo jina halijakamilika.

Likibaki hivyo mabazazi WA jf hawatokuacha salama
unaambiwa hawawez coz hawana uhakika kama ni mwanamke mimi
 
mabwakuuu. Woiiiiih
 
Kweli had mie nasahaulika kwa mzee wa hall V, ibabidi nistaafu selfika sasa, nikaswampee kwingneee.
 
Eid Mubarak kwako pia Mkuu πŸ™

Leo nampeleka Mjukuu wangu mmoja Coco beach akale mishkaki

Mzee mwenzangu Jioni tukutane kwenye kijiwe chetu cha kucheza Bao, rafiki yetu Mzee Suleiman atakuja na Kiko alizoagiza Dubai ili tuvute pamoja wakati tunapiga Soga πŸ€—
 
Legend upo? Eid Mubarak

Enz zile sikukuuu Kama hizi mlikuwa mnasheherekea vipi??
Nipo Mkuu, Eid Mubarak kwako pia

Nakumbuka Sikukuu kama hizi Mwaka 47, ilikuwa Jioni tunakutana Ukumbi wa DDC kucheza Disko huku tukifurahia Muziki wa bendi πŸ€—

Those were days
 
Kijana wa hovyo ktk 1 na 2, jamanii muwe makini ktk maghettoz ya ba tamu zenu.
Vijana wamevurugwa hadi akili ina stuck, mweeeeeh
 
JazakAllah Khair
 
Asante mkuu kwa baraka za Eid,
Ila huku nimestaafu, age imekata sana kiasi kwamba hata miwani yangu haioni tena. Nakuachia ulisongeshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…