Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Muda wa disco huuMwambie huyo jamaa anayerusha mikono juu aache ujinga, amkumbatie manzi huyo πππ
Uchezaji gani huo km anacheza nyimbo ya World Cup
Na wakikushikia mume utajuta wale πππKwa kweli wamakonde wapewe mauwa yao,unakuta kafunga mzigo wa kuni kiunoni mi moja tu imenishindwa na nashukuru mwenzangu aligoma siku ileile aliikata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakunyumbaaa!!!Bombii nyumbii[emoji23][emoji23]
Sio huyo unayemjua wewe πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakufa na kijiba. Poleee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzenu, leo nimekatazwa kumcharua mtu, hapa nimefuraa kwa hasiraa hatariiii.Ndio udugu tunataka changamoto kwenye uzi [emoji16][emoji16](Natania)
Nikimjua nampa supp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu lekchaaaa, yule hujamjua? Si mwanafunzi wako lakiniiii?
Trokaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] la kienyeji lenyewe halina mambo mengi
Ni dawa ndio zinakamata si kwamba wapo vizuri kivileππNa wakikushikia mume utajuta wale πππ
Utakua na wazimu wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbege namix na wine basi mizuka inapanda
ulanzi unakunywa mtogwa au ule mkangafuπππm napenda mtogwa mtamu kama fanta pineapple[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakunyumbaaa!!!
Ila kwetu kuna pombe za kienyeji balaaa, afu sasa sio watoto wala wakubwa ni kulandukaaa tyuuu.
Mie kwenye Ulanzi hunitoi, namaliza Sado 2 fyaaaa. Nikitoka hapo ni mwendo wa kudance, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nn hiko nawee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kirusu unakijua?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya ππππππππ sijali wala nn
ππππ ThubutuuuSiri yako itafika sehemu salama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie bibi kanifundisha had kupika pombe za kienyejiii,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi apo basi inatosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kufa na kipilipili lazima wakushangae kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ndie Mwanamke pekee Jf sina rafiki pm wala group nje ya Jf hutaki basiπ€¨ππππ Thubutuuu
Anaacha kulinda mali anajizima data, halafu atakuwa chalii wa chuga ndio cheza zao hizo ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ hatareeehili grup naomba ni left ππππππΎππΎππΎππΎ
πππ mkono wa mtu uko serious weeeh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio huyo unayemjua wewe [emoji23][emoji23][emoji23]