Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ km kweli unamaanisha vile!!
Mwenyewe sijawahi kuvaa basi kuiga ila tyuu!!
unavaa mavitu yanakupapasa kiunoni kila unakoenda mxiuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚dadeq mi sivai yaani kiuno kina perform chenyeeeeewe,,,nshalewa usingiz apaπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ
 
kuna kupasua madirisha saivi na watoto wakatokea dirishani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,ushameza p2 lori zima afu ujikute binti, mxiuuu [emoji23][emoji23]unaingiza vitu za black and tall afu kusemaje mxiuuu [emoji23][emoji23][emoji1487]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uduguu utajipenda jaribu uone.!! Nilivyomaliza nikalipiga picha nikamtumia beibeeyyy aone mali yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chiziii wee, sahivi niko makini ktk kutunza tamu ya ba tamu, sitaki makolezo ya kiwakiiii.

Ukute had mishipa ya uti wa mgongo ina stuck, wee kuwezaa?
 
Ulanzi uduguu hujamiss [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nimemuonesha ba tamu nikiwa napiga ulanzi ukiwa kwenye Robo, anajibu "unakunywa matapu tapu?"

Hivi hajui ulanzi utamu wake, wee
 
Yanakosaje kwa mfano? Mpk komoni, halafu kuna bar kila jpili wana mbege. Basi nikitoka church napitiaga kula mbuzi choma, nakuta watu wameshika vile vilita. Kesho naagiza nikitoka church [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] komoni na myakayaaa, uduguu umenikumbusha mbaliii sanaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nimemuonesha ba tamu nikiwa napiga ulanzi ukiwa kwenye Robo, anajibu "unakunywa matapu tapu?"

Hivi hajui ulanzi utamu wake, wee
ulanzi unaujuaπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Ž
 
Uongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliona mtoto wa sister anavyomnyonya mama yake nikawa namuita si akageuka nalo km mnati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kusahau nayeye ni mwanamke,,tena baada ya two years atakua tayari limama tena na mwili wa kikinga huo atajaa kama pipa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
unavaa mavitu yanakupapasa kiunoni kila unakoenda mxiuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚dadeq mi sivai yaani kiuno kina perform chenyeeeeewe,,,nshalewa usingiz apaπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ww mzoefu bana, tena unajua kuyatumia vzr
 
Jamaniii uzi lazima uwe na changamoto [emoji2232][emoji2232]
Uzi uchachuke huu ngumi zipigwe [emoji1587][emoji1587][emoji1587]
Watu wasutane [emoji205][emoji205]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…