Selfika na JF: Snap it. Show it

Uduguu usinikumbushe jana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka kuna picha nimeona imepita nyie mi sitaki khaaaaaa!!!!

Ila nini uduguu fashion zingine zitupite [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipiii au ile pembeni ya kioo? Wee uduguu nshaanza kulewa kabla ya kunywa ujue.
 
weeeeee ni mzuri bwan,,hadi kuna jamaa mmoja aliniangalia mimi black then toto white zuriiiii,,, unajua alinambiaje[emoji23][emoji23][emoji23],,eti nilim'baka babake ili nizae nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
weeeeee ni mzuri bwan,,hadi kuna jamaa mmoja aliniangalia mimi black then toto white zuriiiii,,, unajua alinambiajeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,eti nilim'baka babake ili nizae nae
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahiyo umetusaliti wenzio umetembea na mwanaume white!! Si tulikubaliana tall, dark & handsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…