Selfika na JF: Snap it. Show it

Uduguu sitaki tena mahusiano humu, nimewaachia nyie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ulinichuza kwa madenge ona yaliyonikuta
 
Hapana huyo Bro niliona picha yake, amekomaa miguu sana na ana vigimbi...

Halafu mwanaume hata akae pozi lipi unamjua tu..

Ila watu wana roho ngumu sana, bro alivyo komaa utasema anacheza karate..
Sasa kwanini hukusavee, ili uwage unatoa uthibitisho?
Wenzio waliweka na kipili pili kuthibitisha yanayojiri PM.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wee unakwamaa wapiiiii?
 
Uduguu sitaki tena mahusiano humu, nimewaachia nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulinichuza kwa madenge ona yaliyonikuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nimechekaaa hadi kupaliwaaa.
Afu unaogopa nn bhana, wee sio wa kuniangusha hivyooo.
 
Zipo nyingi, ila hii si ya matukio, ukiona hadi naifanyia haya matukio ujue nimekuelewa mtoto mzuri..
Na unazo nyingi kweli, ndo raha ya JF mtu ana id fake na parody lingine la kupungia upepo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu ndo tuwe serious humu!! Thubutuuu
 
Sasa kwanini hukusavee, ili uwage unatoa uthibitisho?
Wenzio waliweka na kipili pili kuthibitisha yanayojiri PM.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wee unakwamaa wapiiiii?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila uduguu eti kipilipili
 
Na unazo nyingi kweli, ndo raha ya JF mtu ana id fake na parody lingine la kupungia upepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ndo tuwe serious humu!! Thubutuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapoo walio serious, na picha za sado zenye nyasi fupi fupi wanatuma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nimechekaaa hadi kupaliwaaa.
Afu unaogopa nn bhana, wee sio wa kuniangusha hivyooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sitaki tena nimekoma
 
Niogope nini...
Mwanaume kujiamini...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapoo walio serious, na picha za sado zenye nyasi fupi fupi wanatuma.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Hatareeee ila sado kubwa ile na zile nyasi sijui za vitunguu maji?? Halafu kisado pembeni kina matope
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee mwanaume? Ktk foleni ya kiumeni nawee umepanga mstari?

Jamaniii mie sitakiiiii, nini hikii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aje na id yake maarufu bana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Hatareeee ila sado kubwa ile na zile nyasi sijui za vitunguu maji?? Halafu kisado pembeni kina matope
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, ba tamu atanipora cm ujue.
Nahisi kuna kitu anafanya sebuleni, akitoka huko ni kuninyang'anya cm.

Aaaah weeee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…