Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole Sana..huyo mdada alilia na alitakiwa asafiri siku mbili mbele mama ake alikua mgonjwa nilimuonea huruma Sana..wezi hawa si wakuonewa huruma
Nilikuwaga nawaonea huruma wezi wanaochomwa moto ila tangu mekutwa na mimi sina huruma nao walah!!
 
Angalia muvi ya will smith inetoka September inaitwa Gemin Man...
(Gemin ni nyots ya mapacha kwenye unajimu)
Humo utaona jubsi clone ya Will Smith inavyomuwinda Will Smith original kumuua
 
Hahah...kupata kichekesho hiki bonyeza *150*01*0# kitakuwa cha kwako
 
Kweli duniani wawili watatua
No. 1 Eminem
2. Joseph
3. Wentworth Miller "Michael scolfied"
Hafu wote videvu vyao vimegawanyika..
Miller na emminen hata sio waongeaji kabisa na wote wamepitia Child abuse.

 
Doooh!
Man man pole sana...

Hivi si kama last two/three weeks uliandika jamaa walitembelea jirani yenu hapo uzuri ulikuwa macho...Sasa hao washenzi inaonekana hawakuridhika

this's one of the reasons why i hate residing in TZ, unaishi ukiwa na wasiwasi karibu kwa kila wakati...

Nitakuwa mtu kabla wiki haijesha.. Wana wamekata dirisha na kutembea na smart 47incView attachment 1281319View attachment 1281320
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…