100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,227
- 36,573
Nani alikua anakukubali?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu mie namshangaa, hajawahi nitongoza na hatukuwahi zungumza chochote kuhusu love, ila yeye ndo alikua ananikubalii akijua ni ka dyadyaa.
Sasa baada ya kuambiwa mie ni kidampa, kaanza chuki na hasira, sasa km hana interest na vidampa si awe buzzy na galz, uzuri mie sina hata tyme nae, niko buzzy na yangu.
Ila yeye hawezi kaa bilaa kunifata fata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF ina heka heka hatariiii.
Bro unazingua..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu ucnichekeshee mie hapaa.
Kuna siku nafanya usafi kwa kutumia water lubries inaitwa Devex,
Sasa kumbe inatakiwa maji ya uvugu uvugu, mie nkatumia ya baridii, kuweka kugusa kule kunako, nlivyorukaa na kupiga ukunga huo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliropokaa mambo ya ajabu, yaan kungekua na mtu karibu angenifunga kamba, kwamba uchizi umeanzaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumuambia baba tamu alicheka, japo sio mchekaji holela, na ni mgumu kucheka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatariiiii tupuuu. Anipepeee wapiii na nilimuambia kwa cm.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakwambia yamenikuta sina hamu!!
Ila umenichekesha shem hajakupepea?? Waxing nzuri ila ina balaa lake haswaaa hii ya kienyeji wohiiii!! Nimekoma [emoji119][emoji119][emoji119]
Ss hivi najipeleka mwenyewe kufanyiwa staki tena ujuaji
Broh kaushaaa, au unataka lamba lolo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro unazingua..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unanikubaliii hadi keshokutwaa.Nani alikua anakukubali?
Sikubaligi uchafu..
Amri kuuMpaji Mungu Yohana 15:12
😂😂🙏Yaan wee muoga kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa uogopee Njegeka za JF? Hebu acha uogaa wee.
Khaaaaah
😂😂Mbona kojo la hanithi mweeeeModerators!!!!
Huu uzi ulipoa km kojo LA hanithii, yaan haukua na uchangamfu, ila leo kutuachia huru mie na udugu wangu, li uzi limefufuka km nsyuka toleo jipyaaa.
Yaan linatatalika utadhani mtu anaoga nje, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtupe maua yetuu, Selfika ina wenyewee, na wenyewe ndo sie.
Naona leo hapo JF HQ mnautazama huu uzi ukiwa wa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Lazima niwachaneee makavuu, Selfika inabebwaa na heka heka.
Na wenye heka heka ndo sie, afu hatulazimishii tunazimuduuu.
Wachachuajiiii km wachachuajiii tuko winjaaaaa winjaaaaaa!!!!
Kaeni kwa kutuliaaa, mtazamee manjegekaaa yanavyonjegeshwaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂 ulkimbia janaAmri kuu
hii hii nlozaliwa nayo au nyingine 😂😂 siwezi iogopa mimiUwongoooo sio kwa njombe 😂😂😂
sasa ukubaliwe una hela?😌😌😂😂😂Kumbe nimekataliwa pia 😂😂😂🥺🥺🙌🙌🙌🙌🙌
Jana nlikuwa na wenge la usingizi kinoma😂 ulkimbia jana
kemea kapepo hako katarudia leo na kesho kesho kutwa mtondogoo.......Jana nlikuwa na wenge la usingizi kinoma
Mi nalalaga saa tano au sita Jana nkaliangusha mapema tukemea kapepo hako katarudia leo na kesho kesho kutwa mtondogoo.......
usirudie tena 😂Mi nalalaga saa tano au sita Jana nkaliangusha mapema tu
Wewe bn ww! Jana nlikuwa na kazi nyingiusirudie tena 😂
usinifokee sasa🤣🤣Wewe bn ww! Jana nlikuwa na kazi nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii[emoji23][emoji23]Mbona kojo la hanithi mweeee
Naona baridi ya nyumbanitu inakupeleka vibaya...haya njoo upate supu ya 🐔🐓🐔🐓usinifokee sasa🤣🤣