Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Utaweza kuruka na kanga moja?πππ haya nakuja ngoja kwanza niruke fence
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifataaaa!!! Umejizuiaaa umeshindwaaa.Wapo lakini hawatembei na mashoga..
ππππ Uduguuu bana sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo principles zako zinataka wazungu. Kuwa mkweliii.
Mie principles zangu zimeangukia kwa mpare na anazimudu.
ππππ ntakuletea pipi usithemeeeNasemeleaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza ukorofi wako πππWapo lakini hawatembei na mashoga..
Mimi nna nywele nyingi na kufinywa sipendi kabisaaa πMim pia nilishindwa hicho, kukaa tu nilishindwa pia na hivi na kichwa kikubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangu yuko tofauti sana, hadi najisemeaa ukipewa kilema, unapewa na mwendoo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uduguuu bana sio
Ila wamatumbi wana nongwa wote wanafanana tabia yani
Nna kipensi km komandoo πππUtaweza kuruka na kanga moja?
Kwa uzuri ulionao tafuta kijana moja kitu moyo unapenda mtulizaneππππ Uduguuu bana sio
Ila wamatumbi wana nongwa wote wanafanana tabia yani
ππππ Uduguuu bana sio
Ila wamatumbi wana nongwa wote wanafanana tabia
Hongera zako uduguu, mi naona hekaheka na vituko tupu. π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangu yuko tofauti sana, hadi najisemeaa ukipewa kilema, unapewa na mwendoo.
Kila ntu na ntuwe.
Me nishawai kufinywa mkichwa nikaanza kuliaMimi nna nywele nyingi na kufinywa sipendi kabisaaa π
Nishampaa kavu lake, huyu atakaa asahau nilimsambaratisha.Umeanza ukorofi wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu 100 anakutafuta huku
Mi nilimwambia niache πππMe nishawai kufinywa mkichwa nikaanza kulia
Nilifumua kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee.Hongera zako uduguu, mi naona hekaheka na vituko tupu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππVichwa vya uchunguMi nilimwambia niache πππ
Pesa yangu initese weeeh
Hivi we ugumu wa maisha ndio ulipelekea uka left group?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifataaaa!!! Umejizuiaaa umeshindwaaa.
Wee mie mke wa mtu sahivi, punguzaa mazoea, utaniharibia ndoa yangu.
Poleeeeeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio tajiri, ila nimetoka kwenye familia inayoweza kumudu milo 3 kwa siku, na yenye kuakisi maisha bora.Hivi we ugumu wa maisha ndio ulipelekea uka left group?
πππ kwan ni nani? Mbona amekuganda toka kitamboNishampaa kavu lake, huyu atakaa asahau nilimsambaratisha.
Alikimbia had I'd yake, sahivii ba tamu kanitulizaa, sihushuliki na wenye stress.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasukwa km mna ugomvi πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee.