Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Monster vipi???
Na My name Is....!
Hiyo alikusudia bibie si Alipitia Child abuse mama ake pia alikua ni mtu wa madawa ndio maana kajiita hvo. Wewe ukimuona yule jamaa psychologically unaona yupo normal??
Maybe spidi yako yq kutype ni ndogo..
Maneno mangapi unaweza type kwa 30sec? Computer
Sawa ni kweli..Eminem imetoka kwenye M&M, kifupi cha Marshall Mathers ambalo ndiyo jina la kiserikali la Eminem.
Kuhusu kutokuwa normal, aliwahi kujibu mwenyewe...
"It's all political /
If my music is literal, and I'm a criminal / how the phuck can I raise a little girl? /".
He raised many kids btw, including his little bro.
Hongeraa.No speed yangu ya kutype ni kubwa mbona
Sijawahi jipigia mahesabu ila nitafanya hivyo
Hebu muangalie Wentworth Miller, Clint Eastwood na Eminem... Huoni wanafanana?Monster ile aliyoimba na Rihanna?? Hizo nyingine kawaida sana mimi my best Eminem songs ni Not Afraid na Rap God!!
Oohh yeah psychologically anaonekana hayuko normal lakini pia si nasikia kuna siri kubwa nyuma ya pazia?? He was Cloned!!
Hongeraa.
Mkuu ,futa hiyo namba kwenye hiyo meza kwa ku edit pic,watu wataku "tiraki"
No speed yangu ya kutype ni kubwa mbona
Sijawahi jipigia mahesabu ila nitafanya hivyo
Kuna fridge moja uliipost mahali,niliielewa sana#Utii wa sheria bila shurti. When the stop sign is actuated, everyone stops.
View attachment 1280405
Hebu muangalie Wentworth Miller, Clint Eastwood na Eminem... Huoni wanafanana?
Siku hzi nayaelewa sana haya mambo
Ooh asante kunikumbushaMkuu ,futa hiyo namba kwenye hiyo meza kwa ku edit pic,watu wataku "tiraki"
Unaweza kutype bila kuangalia keyboard ?
That's the reality of lifeNaomba nikusaidie wakati wa kuvuna mpendwa
Eminem imetoka kwenye M&M, kifupi cha Marshall Mathers ambalo ndiyo jina la kiserikali la Eminem.
Kuhusu kutokuwa normal, aliwahi kujibu mwenyewe...
"It's all political /
If my music is literal, and I'm a criminal / how the phuck can I raise a little girl? /".
He raised many kids btw, including his little bro.
Issue ya Em kuwa cloned, Me sitaki kuiamini hadi leo (walimfanyia ili awe anti-government au nini cha ziada?, na nani aliyeendesha hilo zoezi? Illumi au kina Dre? Kwanini sio John F. Kennedy, Shakur, Big, Lincoln).Monster ile aliyoimba na Rihanna?? Hizo nyingine kawaida sana mimi my best Eminem songs ni Not Afraid na Rap God!!
Oohh yeah psychologically anaonekana hayuko normal lakini pia si nasikia kuna siri kubwa nyuma ya pazia?? He was Cloned!!
Hapa sio mahala pake ngoja nikiite sehem kama utaonaMmhh labda Wentworth kwa mbali ila Clint hapana,, but wanasema Eminem huyu wa sasa siyo Eminem yule wa "Not Afraid"..
Si unajua wanakua na motivation kubwa kwa vijana...Issue ya Em kuwa cloned, Me sitaki kuiamini hadi leo (walimfanyia ili awe anti-government au nini cha ziada?, na nani aliyeendesha hilo zoezi? Illumi au kina Dre? Kwanini sio John F. Kennedy, Shakur, Big, Lincoln).