Hayo mambo yanatugharimu kama Taifa, na Hawa Viongozi mbaya zaidi kwenye Mali na Madeni yao kupitia Viapo vyao kwenye time ya maadili ya Viongozi wa Umma huwa hawazitaji hizo Mali zao.Mkuu hilo ni jambo lisilowezekana.
Starlink itaua biashara nyingi za hawa wezi.
Issue hapa ni kulindana, wakubwa wengi wana hisa kubwa kwenye hizi Internet service provider companies.
Kwa kasi ya starlink na bei yake ilivyo chini itapelekea sells kwa hizi local companies kupoteza uelekeo.
Starkink inaweza connect devices 120 na speed ikawa stable.
Issue hapa si kuwatatulia wananchi matatizo issue hapa ni kulinda biashara za watu binafsi na vigogo.
Sahihi sana mkuu.Hayo mambo yanatugharimu kama Taifa, na Hawa Viongozi mbaya zaidi kwenye Mali na Madeni yao kupitia Viapo vyao kwenye time ya maadili ya Viongozi wa Umma huwa hawazitaji hizo Mali zao.
Ukishakuwa na Viongozi Wafanyabiashara hakuna unafuu unapatikana Kwa Wananchi, maana wao muda wote wanawaza kutuibia tu 🙌
Kabisa Mkuu, na bahati mbaya system inawalea ndiyo maana wameendelea kuwapachika watoto zao kwenye uongozi kuanzia Chamani hadi Serikalini...Sahihi sana mkuu.
Na nini tena myHebu mtupumzishe 😀😀
Tutajinyonga
Mbully basi mwanangu [emoji23][emoji23]Kwa sisi watetezi wa haki za watoto. Umekosea kuweka picha ya mtoto bila udhini yake mtandaoni. Inaweza kutumika vibaya kumbully huyu mtoto
Usitukane na kujifanya mjuaji. Yule binti aliyesimama hapo kwenye picha ni mdogo sana na umemuweka bila idhini yake. Umekosea, acha ujuaji wa kindezi.
Urojo ,Dodoma ?Anayejua sehemu wanauza urojo mix mtamu dodoma naomba aniambie!
Maelezo yanajitosheleza ila unaniuliza tena swali.Urojo ,Dodoma ?
Hahahahaha ukiiupata nishtueMaelezo yanajitosheleza ila unaniuliza tena swali.
Nimeshapata sehemu wanayouza ila nilitaka zaidi, ili nichague urojo mtamu kuzidi woteHahahahaha ukiiupata nishtue
Mimi ntamuweka mwanangu sehemu yeyote ntakayojiskiaUsitukane na kujifanya mjuaji. Yule binti aliyesimama hapo kwenye picha ni mdogo sana na umemuweka bila idhini yake. Umekosea, acha ujuaji wa kindezi.
Hahahahaha..Nimeshapata sehemu wanayouza ila nilitaka zaidi, ili nichague urojo mtamu kuzidi wote