Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

DSC_0021.JPG

Asante babe wangu 😁😁😁 Poker
 
Alishafanya refresh course..simba wamuamini wampe timu
Nakubaliana na maoni yako, ni muda mwafaka Kocha mzawa Juma Mgunda Pep Mnene apewe timu hata Kwa msimu mmoja aoneshe uwezo wake.

Tumechoka kulipa mishahara ya milioni 30 Kwa Mwezi Kwa makocha wa nje ambao kiuhalisia wanazidiwa mbinu na uwezo na Juma Mgunda
 
Yeah hata mimi huwa nawaza kwanini asijiendeleze au hajui kama wanasimba tunamkubali, yeye ndiye anaijua simba na anajua mchezaji yupi anafaa kwenye mechi ipi na nafasi ipi, labda itokee tu siku hiyo mchezaji awe vibaya mechi imkatae ila yeye kwa upande wake anajitahidi sana
Ni sahihi, huyu Mzee apewe timu Moja Kwa Moja hata Kwa Msimu mmoja tu
 
Back
Top Bottom