Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,325
- 2,590
Wazazi hawajambo, wanakusalimia....Honeeeeeeeyyyyyyyyyyy
Pole Sana Baba
Kwa safari iiii
Tangu uondoke
Niko salama baba eeeeeh.
Wazazi hawajambo, wanakusalimia....Honeeeeeeeyyyyyyyyyyy
Pole Sana Baba
Kwa safari iiii
Tangu uondoke
Niko salama baba eeeeeh.
😊Hahahahaha
Ndugu yako muuza dagaa ye auze tu ambao hawana michanga lakin hawa dagaa nyambole.Sipati picha ndugu yangu mmoja muuza dagaa Hali yake Leo si atakuwa kachoka sana yaani 😂😁 poleni sana hadi huku dar Leo jua kalii sana
Ukiwa mbali na miWazazi hawajambo, wanakusalimia....
Naunga mkono hoja 😂😁😁😁Ndugu yako muuza dagaa ye auze tu ambao hawana michanga lakin hawa dagaa nyambole.
Eeeeeh watamdodea hata vitani.
😂😂😂😂😂😂Naunga mkono hoja 😂😁😁😁
Basi ngoja nirudiLol tumepishana mie nimeingia jana dar
Karibu sana kigamboni my sisterBasi ngoja nirudi View attachment 2987955
Hii sindo ile inayoitwa BOTI YA MWENDOKASI🤔Basi ngoja nirudi View attachment 2987955
Sijui nianze na lips 💋 au nianze na vidole , nianze na vishavu vzr...aaagh...yaani Mungu fundi
🙂🙂Karibu sana kigamboni my sister
Hata sijui 🥴Hii sindo ile inayoitwa BOTI YA MWENDOKASI🤔
Ila@Mideko una sura nyingi saaaaaaana 😄🍻
Hatari Sana 🤣🤣🤣🤣Ila@Mideko una sura nyingi saaaaaaana 😄🍻
Aiseeeeeeeee!!Ukiwa mbali na mi
Siwez kuzoea
Em nibusu darling
Haya malizia🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹
Ndio ndioAiseeeeeeeee!!