Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha tujipongeze walau kwa ushindi wa leo japo nafasi ya pili bado hatuna uhakika nayo
20240509_224547.jpg
 
One for the road 🥂

Hii Simba yetu angeachiwaga Mgunda moja Kwa Moja ingepiga hatua

Boli linatembea na ushindi unapatikana 💪
Kabisa mkuu tuna imani na Mgunda, sema nasikia hatambuliki na CAF hana Leseni kwahiyo tukienda kimataifa, lazima tutafute Kocha mwingine wa kimataifa ambaye obviously ndio atakuwa mkuu
 
Back
Top Bottom