Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Napenda sana 🥬 Jo, ila sasa nimehamia sehemu ambayo siwezi kuendeleza ka-system kangu ka zamani.

Nilikuwaga nikienda sokoni kuna mmama ananisafishia vyakutosha alafu ananikatia za kukata na za kuchambua anachambua, nakua na mboga za kula wiki nzima. Sasa hivi nimehamia sehemu nyingine, sokoni mbali panatia uvivu kwenda, na siku nikienda napata tabu kuchagua pakununua maana sijawazoea.😵😵

Ila namiss sana.😔View attachment 2984764View attachment 2984765
Oooh pole sana,kama ni hivyo kweli tatizo.....jitahidi upate hata matunda
 
IMG_20240509_124532_058.jpg

Watu na milima yao 🤗

#Nyanda za Juu kusini 🙌
 
Back
Top Bottom