Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,330
- 95,702
Kuna kitu nimekiona si mchezo
Unaonekana umenona sana
Itakuwa mapaja mazuriπKuna kitu nimekiona si mchezo
ππUnapenda vinono!Unaonekana umenona sana
Hahahahaha kuna asiyependa vinono ? Hebu selfika na wewe tuone ulivyononaππUnapenda vinono!
Sijapita kabisa kule mbona, itakua ulinifananisha.Nimekuona jana kwenye mabanda ya CCM Iringa. πππππ
Hahahahaha, mie sitaja kitu lknItakuwa mapaja mazuriπ
Tangu jana macho yako yanaona vitu lainilainiπHahahahaha, mie sitaja kitu lkn
Hahahahaha..ujue macho yangu yana matatizo hivyo vitu laini laini ndio navionaTangu jana macho yako yanaona vitu lainilainiπ
Ha haaa haaaa kuselfika tena!πHahahahaha kuna asiyependa vinono ? Hebu selfika na wewe tuone ulivyonona
Hahahahaha eeh tuone vilivyononqHa haaa haaaa kuselfika tena!π
Mi shangazi bwana nimewaachia wadogo zangu uwanja wajiachie Kwa Raha zaoπHahahahaha eeh tuone vilivyononq
Hahahahaha...sawa sawaMi shangazi bwana nimewaachia wadogo zangu uwanja wajiachie Kwa Raha zaoπ
Nimewahi kupita kwenye hayo mabanda ya CCM mara mbili hivi kupata yale mambo yetuNimekuona jana kwenye mabanda ya CCM Iringa. πππππ
Unaonekana umenona sana
Hahahahaha..hapana..mbn hata maelezo unayoyatoa tu ni ya kitaalamu [ Chef ] uko vzrPicha tu hiyo mkuu
Acha utapeli, wenzako wanatuma picha zao, wewe unatuma maua.Zaburi 24:1
Dunia na vyote viijavyo ni Mali ya Bwana...
Saint Anne Leo nimeamka nikaona haya maua yameota nje kwangu yakanivutia nikasema ngoja niitengeneze home made fresh deco,see the beuty, Dar pazuri bwanaπ....
Hahahahaha..utaniita au utani tag ?Sawa..nitakuita usijali