Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,309
- 101,019
Humu kuna somo la mapishi ..kaa ujifunze kupika biriani..😂😂Kwema humu ndani 😁😂😂
Humu kuna somo la mapishi ..kaa ujifunze kupika biriani..😂😂Kwema humu ndani 😁😂😂
Leo tunapata somo la mchele🤣🤣🤣🤣
Safi sana ngoja nipate elimu hapaHumu kuna somo la mapishi ..kaa ujifunze kupika biriani..😂😂
Hongera sana umepika chakula kitamu sana kuliko yule Binti mjuaji
Jaribu dearOokayyy,,nitajaribu hii method
😍Ulikuwa na ladha nzuri piaUnavutia.
Asante 😀Hongera sana umepika chakula kitamu sana kuliko yule Binti mjuaji
Usisahau kutupa mrejesho😍😍 Weekend nitaipika Inshallah tukijaliwa uzima
Mie nasubiri picha ya biriani hapa selfika😍😍 Weekend nitaipika Inshallah tukijaliwa uzima
WalaaInaonekana wewe ni mpishi mzuri sana
Pambee😍👌
Safi sanaWalaa
Sijui chochote
Najivunza mdogo mdogo
Pambee😍👌
Haukuwa Boko ila haukuwa mtaniMchele wa basmati kuwa Boko sio rahis unachofanya basmati unaloweka Ile ya kawaida niliosha nikakaa kma dakika 5 nikaweka na haukuwa Boko sema Mimi Huwa napalia nisipopika wali kwenye mkaa sielewag 😀
Mara moja moja nikipata mtu anataka nimpikie nauzaOok kumbe wewe la kuuza!nilijua la nyumbani..hapo sawa