Selfika na JF: Snap it. Show it

🎢Sipendi kusema naogopa lawama
Walimwengu nawajua
Japo yanauma mambo ya wanadam
Bora kuwapotea

Walivoniandama japo roho yaniuma
Lakin ninatulia

Sikuzoea kusema kubishana na nawanadama
Sijutii na sitajutia 🎢
Saint Anne
Wajinga wajinga nawapotezea
Katu hawanipigishi kelele

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Si kama siwezi kusema
Naweza mpaka kukesha
Naziepuka lawama
Nyingine zinakondeshaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ

Mamaaa LeilaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Si kama siwezi kusema
Naweza mpaka kukesha
Naziepuka lawama
Nyingine zinakondeshaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ

Mamaaa LeilaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ataecheka na mie
Nami nitacheka
Asiesema na mie
Nitakaa mbali nae
Ugomvi siwez mie
Bora nimpotezeeeeee
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Kuna wapiga vinanda wao
Halafu Kuna mpiga kinanda wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Mpiga kinanda wake
Mzee Yusuf kakicharanga kinanda jamani chaaaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Niko live πŸ”₯πŸ”₯View attachment 2974940
 

Attachments

  • IMG_20240426_235437_186.jpg
    2.4 MB · Views: 10
  • IMG_20240426_235519_934.jpg
    2.3 MB · Views: 9
Kuna wapiga vinanda wao
Halafu Kuna mpiga kinanda wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Mpiga kinanda wake
Mzee Yusuf kakicharanga kinanda jamani chaaaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Kiboko kabisa
Unasikia Isha mashauz huko jmn mbona Leo nyimbo nazozipenda nitalala kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ataecheka na mie
Nami nitacheka
Asiesema na mie
Nitakaa mbali nae
Ugomvi siwez mie
Bora nimpotezeeeeee
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
PambeeeeeπŸ‘ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Mimi akipiga maneno ya mkosaji
Atanikosha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…