Aaah mim wig kwa kweli ntachekesha lbd ntajaribu, Mim aiseh nimesukwa mistari inauma Alf kichwa changu hua cha uchungu, sema wageni jitambulisheni kwa majina na vyeo.
Em selfika bn na ww bina.
Mimi kufinywa hapana kwakweli ni mwendo wa mawig na kuna wig langu la blonde hilo mpk shem wako kanichamba nilipumzishe π€£π€£π€£
Mi mambo ya kufinywa mpk ninywe dicloper sitaki πππ