πππππ mi nipo kufurahi hapa usinifanye nianze kuchachuka mapema!!Angalia usijeondoka mikono juu mwendo wa mateka,Kaa Kwa kutulia Dogoπ
Mambo ndo hayo ccy, njoo kule me nipo nakungoja.Lovelovie sis uje kule unipe mwongozo mapema kama ni kufumua nifumue mapemaaa nataka niende kwenye maandalizi saiviii Bosi kubwa keshasababisha miamala sitaki kumuangushaaaaa
Badae ntaku update na π€³π€³π€³ za maandaliziiiiiii
Poapoa sis fanya manuva nipangilie bajeti hapaπππCcy Mim pia nimeanza kusuka hapa kichwani nina mistari, natakiwa nikaifumue nianze kusuka leo, lkn tatizo nywele zinauma uwiiii uwiiiii uwiiiiii, Yani nikiwa nasukwa hadi nasikia kalio linauma,ππππ.
Alafu ijumaa kuna send off ya cuzo wangu. Nakutumia watsap uone kama utaipenda.
Halafu sipendi mambo yako nikianza kulewa unaleta ujinga wako unataka tu niharibuππππππππ mi nipo kufurahi hapa usinifanye nianze kuchachuka mapema!!
Sis em nibless na kafoto pambee nikuone kwanza
π€£π€£π€£ Kwan na leo unalewa?? Si utupie pic sis nikuone..! Ss hivi hamna watu banaHalafu sipendi mambo yako nikianza kulewa unaleta ujinga wako unataka tu niharibuπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teeenah! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
π€£π€£π€£ Mi mgeni muanze kuselfika wenyeji kwanza, halafu mimi team mawig na natural hair sipendi kusuka sichelewi kumzabua kofi msusi akinifinya πππBina em selfika kwanza na utume hairstyles za mbele, ccy Mahondaw ana jambo lake siku chache sijazo.
Nimemiss kucheka ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalia usijeondoka mikono juu mwendo wa mateka,Kaa Kwa kutulia Dogo[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nipo kufurahi hapa usinifanye nianze kuchachuka mapema!!
Sis em nibless na kafoto pambee nikuone kwanza
Umefunguliwa ban π₯π₯π₯β€οΈβ€οΈπππ€£π€£π€£ Kwan na leo unalewa?? Si utupie pic sis nikuone..! Ss hivi hamna watu bana
Aaah mim wig kwa kweli ntachekesha lbd ntajaribu, Mim aiseh nimesukwa mistari inauma Alf kichwa changu hua cha uchungu, sema wageni jitambulisheni kwa majina na vyeo.π€£π€£π€£ Mi mgeni muanze kuselfika wenyeji kwanza, halafu mimi team mawig na natural hair sipendi kusuka sichelewi kumzabua kofi msusi akinifinya πππ
Dada atubless tuone uumbaji wa Mungu ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππ Nipo huru wifi yanguUmefunguliwa ban π₯π₯π₯β€οΈβ€οΈππ
Afadhali π₯π₯π₯πππ Nipo huru wifi yangu
π€£π€£π€£Una lako jambo...sio utafungwa?Huu usi kwa sasa utaanza kuchangamka π π π
Uko chini ya uangalizi... Probation ππππ Nipo huru wifi yangu