Mwanya kama wako ccy, ni bless ccy na mim, nifurai.Nougaaa sana sis ni umependezaa balaaaa!
Huo mwanya sasa mtrotro mtraaaammmmm๐๐๐๐!
FLat tummy kabisa hiyoo..! Wewe ukiona tumbo langu lilivyo kubwa lazima uzimie
Wee damu changa nguvu za kukimbia bado unazo sis saa bi kizeee hapa kukimbia naanziia wapi mi๐ค ๐ค ๐! Fanya hivo utanouga hatariii na ulivo na mwili mzuri utauaaaaaaa๐๐๐๐!!๐๐๐๐๐Mim diet ccy ๐๐๐๐hapana.
Nilienda jim niliumwa niliumwa mwili unakua kama mdonda.
Nikasema hapana napoteza pesa tu.
Ngoja kesho nianze kukimbia mdogo mdogo kama Kaka Vince alivosema tuone itakuaje.
.
Hii sarcasm sis sijaentaaaa๐ค ๐ค ๐ค ๐๐๐!Mwanya kama wako ccy, ni bless ccy na mim, nifurai.
๐๐๐๐ Weeeeeh thubutu bibi kizee unamjua ccy.Wee damu changa nguvu za kukimbia bado unazo sis saa bi kizeee hapa kukimbia naanziia wapi mi๐ค ๐ค ๐! Fanya hivo utanouga hatariii na ulivo na mwili mzuri utauaaaaaaa๐๐๐๐!!
Niko hapa ccy nakungojaHii sarcasm sis sijaentaaaa๐ค ๐ค ๐ค ๐๐๐!
Usijaree ngoja nipekuepekue kwa gallery hapa!
Weeeee nyota nitoe wapi sis fanya manuva mafusho niondoe hii nuksi dadako au sijui nikaogee maji ya bahari??? Hio bahari sasa nahuku maporini Mungu wangu๐ค๐ค๐ค !๐๐๐๐ Weeeeeh thubutu bibi kizee unamjua ccy.
Ungekua bibi kizee nyota ako ingeshalala siku mingi ccy๐๐๐
Sawa this week nitakuquote.Asante love, selfika na ww.
๐๐๐๐MTU asokua na nyota ccy hasemwi.Weeeee nyota nitoe wapi sis fanya manuva mafusho niondoe hii nuksi dadako au sijui nikaogee maji ya bahari??? Hio bahari sasa nahuku mapirini Mungu wangu๐ค๐ค๐ค !
Utanifanyia mchakato wa mkoti ccy.
Sawa ntakua hapa hapa nasubiriaSawa this week nitakuquote.
shem ndama wako hajambo..?๐
Ndama tena aseee!shem ndama wako hajambo..?๐
Usijaree kabesaaa sisUtanifanyia mchakato wa mkoti ccy.
Pendeza sana๐๐๐๐
Aamen sis wabheja sana!๐๐๐๐MTU asokua na nyota ccy hasemwi.
We kaa huko huko maporini ilimradi unaingiza pesa kihalali, sio kwa kudanga ccy.
Sawa nikutakie siku njemaSawa ntakua hapa hapa nasubiria
hujaona huko kuna uzi wa ndama..? sahivi tunaitwa ndama sie jinsia tofauti na nyie kisa tunanyonyaga maziwa yenu!,nikiangalia hapo umeweka mtindi mzuri mzuri ndo maana nauliza ndama wako hajambo...??๐Ndama tena aseee!
Kila kitu kiko vyedi hukuu kuanzia kuku mboga za majani mahindi migomba n.k
Sawa ww piaSawa nikutakie siku njema