Kumbe kuna Pombe wanatumia ndizi kutengeneza, me niliwahi kunywa Mbege ambayo inatengezwa na Ndizi
Ilikuwa ni tamu sana ππ
Hilo tukio la Ngoswe, kiketokea miaka mingi sitaki hata kukumbuka Mjukuu π
Kwasasa tumewaachia Vijana wapambane nayo π