Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,202
Mimi sishabikii janjajanja wavuta bangi la darajani😂😆Hahaha ulipoteaga wapi? Naona jana palmer aliwaokoa.
Weka kaselfie tuone
Mimi sishabikii janjajanja wavuta bangi la darajani😂😆Hahaha ulipoteaga wapi? Naona jana palmer aliwaokoa.
Mamelodi wametubanajee leooo hatupumuiiii 🤠 😁! Sema Tuna Imani na yanga haitatuangusha amen💛💛💛💪Totooooo!!!
Allah atawafanyieni wepesi Insha'Allah.Mamelodi wametubanajee leooo hatupumuiiii 🤠 😁! Sema Tuna Imani na yanga haitatuangusha amen💛💛💛💪
🤠🤠🤠🤠😁Allah atawafanyieni wepesi Insha'Allah.
Leo ndipo nimeamini timu yenye pisi kali ni Yanga.
Nimemeza tena labda next time....😎
Khaaa jamani
Hili ni jipu sio sindano aiseeTulia sindano ikuingie.
View attachment 2954183
Pande zipi kiongozi 😃raraa reree njoo unywe pombe
ubungo riversidePande zipi kiongozi 😃
Wapi hapo micassa au 😃ubungo riverside
Ahaaa kumbe mtaalam hapa micassaWapi hapo micassa au 😃