Usinifanyie hivo tafadhali πππ afu njoo wasap nikupe kitu π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ati mdogo wako wa mwisho,, wewe january hesabu maumivu tu mbona..
Lala dogo ukueUsiku mwema.
Wewe mnyakyusa feki.
Tena ndiyo Nini Sasa?
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anne mama,, mimi sihitaji kura za maoni ili ipitishwe kwamba ninajua kinyakyusa kwa vile najua kuwa najua basi imeisha hiyo haina mjadala tena.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usinifanyie hivo tafadhali [emoji3][emoji3][emoji3] afu njoo wasap nikupe kitu [emoji126]
Chako peke ako..hakuna kushare na mtuNa unipe kweli,, we nizingue tu..
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Huku kwetu mkwe bora hata ya Mbeya, hata maji bado tunachoka mtoni/visimani. Hata umeme hakuna, nyumba ndio hizo unazoponda za udongo.
Kivutio pekee kilichobakia ni mkeo ambae pia yuko singo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chako peke ako..hakuna kushare na mtu
Mshua upo humu Jf pia
Nimecheka Sana,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anne mama,, mimi sihitaji kura za maoni ili ipitishwe kwamba ninajua kinyakyusa kwa vile najua kuwa najua basi imeisha hiyo haina mjadala tena.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]nakuja nikikute huko,, tatizo wewe na Saint anne sijui mna ugomvi na whatsapp..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah kweli kina Yuda Iskariote bado wapo
NdiyoUmemuunga mkono kwamba mimi nina matatizo!! Ndiyo nauliza hata wewe kweli??
ππππ WhatsApp wanatumia wafanya biashara, wazee na watoto chipukizi kama wewe na Atoto sisi watu wa makamo akuuu ππ[emoji1787][emoji1787]nakuja nikikute huko,, tatizo wewe na Saint anne sijui mna ugomvi na whatsapp..
Wapi hapo mkuu,panaonenakana pako fresh.
kijana mpya gari ya zamani! View attachment 1279785
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WhatsApp wanatumia wafanya biashara, wazee na watoto chipukizi kama wewe na Atoto sisi watu wa makamo akuuu [emoji126][emoji126]
Yah maramoja moja sio mbayaMshua upo humu Jf pia