Selfika na JF: Snap it. Show it

Wengine tuna vitambi na tunakula mlenda kila siku😂
 
Si ndio hiyo serena hapo kwa nyuma mukubwa 😁😁🤣 naskia chai ni afu sabini
Hahahahaha..acha masihara serena ni kitu kingine na kilimanjaro hotel kitu kingine..

Kilimanjaro hotel kwa sasa ni Kempesk kulikua na level 8 club sijui bado iko au la ? Serena ni hapa mwanzo mkuu near nyumba ya sanaa na gymkhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…