Malizia methali hii:
Kabla hujafa..........
Uliwahi kuona nabishana mahaliWe pia mbishi sana kuliko hata wakina saint anne na karma
Ulikua vizuri sana....enzi za ujana wakoWakati namaliza Adv...mwaka 1993View attachment 1279756
Unapenda nini? Daah! Wanyaki nasikia mnaridhikaga na vitu vidunchu sana...Safi [emoji177]
Yan ulivyo fasta sasa π
Emu niifute kabla raia hawatoka dinner
βΊβΊ nikuone basiUlikua vizuri sana....enzi za ujana wako
Chat na picha wapendwa
Imenishangaza ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo sasa mbona kama umeshangaa eti??
Imenishangaza [emoji3][emoji3]
Haya ni majibu ya wanangu...Hujaumbika
Tulia wewe.Yan ulivyo fasta sasa [emoji7]
Emu niifute kabla raia hawatoka dinner
Tulia wewe.
Ah sasa songwe nako kuna ndege basi?? Kwa mtu kama mimi ninayependa milio ya ndege kibongobongo airport kama jnia ndiyo itanifaa!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unapenda nini? Daah! Wanyaki nasikia mnaridhikaga na vitu vidunchu sana...Safi [emoji177]
Mweeeeeeh[emoji134][emoji134][emoji134]Dogo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ππππHaya ni majibu ya wanangu...
1. Gawa mali
2. Acha wosia
3. Tumia pesa
4. Chimba kaburi
5. Utakata roho
6. Omba msamaha
7. Tubu dhambi
8. Utakiona cha moto
9. Lazima uage ndugu
10. Lazima uishi
11. Kula maisha
Nk nk nk.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Otimbi na timbilioo
Mlio wa ndege πππ[emoji1787][emoji1787]kwamba nimeridhika na vitu vidogo enh??
Hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nilicheka acha tu.
Haya ni majibu ya wanangu...
1. Gawa mali
2. Acha wosia
3. Tumia pesa
4. Chimba kaburi
5. Utakata roho
6. Omba msamaha
7. Tubu dhambi
8. Utakiona cha moto
9. Lazima uage ndugu
10. Lazima uishi
11. Kula maisha
Nk nk nk.
Yaani acha tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa yaani hayo majibu na hiyo avatar nimejikuta nacheka mara dufu,, wamejibu hivyo kwenye paper au??