Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,863
- 141,437
View attachment 2927321
gal from my village[emoji38]
Mbona Huwa naposti sana humu ndani sema wewe umetususa sana hapa selfika
😂 Winnonejamn[emoji17]
Nakusalimia popote ulipo dunianiabee
Ni kisu kikali haswa, hadi Wazee tumeona bila kuvaa miwani 😜kisu kina kutu[emoji23][emoji23]
Nakusalimia popote ulipo duniani
Ni kisu kikali haswa, hadi Wazee tumeona bila kuvaa miwani [emoji12]
Leo nitapitapita tena, huenda nikabahatisha 🤗hahahaha jamn jamn shida ndo imeanzia hapooo bora ungevaa miwani tu ungepata picha clear[emoji2957][emoji23][emoji23]
Jah! Hi picha kama ntu Fulani hiviii 😂 anyways uko Bomba sana yaani umewamba sana.
Leo nitapitapita tena, huenda nikabahatisha 🤗
Vijana sijui wanakwama wapi wakati Mali safi ziko humu humu 😜
Hajaonewa kufungiwa, mwenendo mbaya wa ushiriki kwenye mjadala umepelekea adhabu aliyopewa.
Naendelea poa Mzee mwenzangu 🙏Mzee mwenzangu umeamkaje? Mali safi hiyo inakufaa sana haswa ukimaliza kazi za saiti.