CotterPin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,396
- 5,006
Watu wanatakiwa wajifunze kuheshimiana.Unapitia magumu mengi wee acha tu
Kaka waaombe mods wasifunge Uzi. Wampige bun anaeanzisha matusi, hiyo ndiyo dawa.
Watu wanatakiwa wajifunze kuheshimiana.Unapitia magumu mengi wee acha tu
sawa na mimi nakupenda piaMama wa watoto wawili nimekuja kuwasalimu wapendwa wangu....Upendo wa kweli ushinda ubaya......tujifunze kunyamaza hata katika magumu.Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia.Mwenyezi Mungu awabariki sana🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hello 👋👋🤩😍Mama wa watoto wawili nimekuja kuwasalimu wapendwa wangu....Upendo wa kweli ushinda ubaya......tujifunze kunyamaza hata katika magumu.Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia.Mwenyezi Mungu awabariki sana🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hatimaye tumeona selfie ya ndugu mjumbe
Hahahahaha...hebu selfika kdgUzi upo Kama umeme wa tanesco
.
Mjumbe njaa ilikuwa inauma nimekaa nje nikisubiri ugali wa mama 😂Hatimaye tumeona selfie ya ndugu mjumbe
Oyaaaaa mazeee sio poa guu sio la Depal hili 😄😋🔥🔥🔥🔥
Sijaelewa mkuu 😒Oyaaaaa mazeee sio poa guu sio la Depal hili 😄😋🔥🔥🔥🔥
Mjumbe komaa hapohapo home usitoke mtaani kugumuMjumbe njaa ilikuwa inauma nimekaa nje nikisubiri ugali wa mama 😂