Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Duh hizo lips, ntafaidi SanaππDunia Marafiki wa kweli wapo yaani anajua mpaka mchepuko wako na wala hasemi kwa wengineπππ
Zikija selfie za iphone selfika itakwenda kupasukaπππππ udugu wangu wa moto
Nasema anayo 12 pro lazima nimpe uduguuu wangu π₯°π₯°π₯°π₯°Weuweee
Udugu ake iphone anayo hana?π₯
Macho matatu kalikali ya kikemia
Ni serious kabisa alipanga hivyoHeee
Udugu ake anahamia kwenye iphone sasa[emoji91][emoji91][emoji91]
Sipati picha maphoto makali yatakayotoka hapo
Sasahivi tu itel inatutetemesha[emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23]timiza ahadi maana ulikuwa umepangaHalafu nilitaka kumfanyia km surprise ushaharibu na wewe [emoji17][emoji17][emoji17]
Uduguu hii ni kweli kabisaa nilipanga nkufanyie bonge la surprise kwa jinsi nilivyokuwa nakukubali basi tu.!!!
Sijui kwann shetani kapita, nilitaka nikupe iphone hii serious kabisaaa ilitoka moyoni.!!
Dah!! Ila shetani mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nitatimiza ahadi uduguu akikubali, halafu mimi nilitaka tuwekane sawa tu wala sijammind.!! Ningemmind ningepandisha mashetani muda huu ningekuwa na ban
PowaNasubiri hapa
Jamanii we si umesema si chinga na mimi ndio kabila nilipendalo ππDuh hizo lips, ntafaidi Sanaππ
Mtajishika na kujibeba nawaambia humu πππZikija selfie za iphone selfika itakwenda kupasukaπ
Chingaman masta aka mpishi kaka chinga unafaidi sana β€οΈππ€£Duh hizo lips, ntafaidi Sanaππ
Ntakuletea subiri
Natimiza kwa uduguu wangu tena?? πππ[emoji23][emoji23][emoji23]timiza ahadi maana ulikuwa umepanga
haha!πππ Mimi sinaga uadui kabisaaa.. haswaaa kwa uduguu wangu, hapa nishammiss mwenyewe πππ
Nyingine akija udugu nitaselfika πππ
Mama miongozo njoo chino kasema turudishe uduguu na uwifi wetu ole wako ukatae π€ π€
Mimi ndio mtu pekee ninyekupenda humu shauri zakoβ¦. Njoo bana utupie picha za hipusi donti lai ππ
Hivi bado unamuamini huyu?? ππππNasubiri shemeji
Uzuri wewe hauna uswahili kabisa
Una jiita mu italy, halafu hujui shawarmaπ€ππ€£π€£.Kabisa dada yangu dude ni kalii sana hili
Nii hii chinga au ndio ming'oko hii maana nyinyi wamakonde mnakula vitu vya ajabu sana ππ€£π€£π€£π
Mtajishika na kujibeba nawaambia humu πππ
Uduguu iphone unayo mimi sinaga longolongo nikisema natekelezaβ¦.
Shetani kashapita njoo tuendeleze udugu wetu ππππ
Anatoa kweli na alipanga, wiki iliyopita niliona saa ya hublot huko insta inauzwa 290k, nikamuonyesha. Fasta tu kesho yake mzigo nikaletewaWeuweee
Udugu ake iphone anayo hana?[emoji91]
Macho matatu kalikali ya kikemia
Mimi mrefu, med na mwembamba bhanaπ€£Jamanii we si umesema si chinga na mimi ndio kabila nilipendalo ππ
Hajafikisha πππhaha!
Msije mkanipiga tena tukio na udugu.
(Chino pia nilikuwa najieleza sana namna navyokupenda) kwa huyu mzee sumbai badluck hakufikisha salam kwako
Hapa nimeandaa ya kutosha, ndio nayapangq vizuri. Sema nimeona notification ya whatsapp[emoji23], utakua ni mkwara huoNasubiri shemeji
Uzuri wewe hauna uswahili kabisa
Sio umemkataza ingia jf mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu yanga ifungwe na belozdad sijawah kumuona.