Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wacha weeee
Basi nitakuungisha cake ikifika bday ya uduguu wangu, nataka iwe ya kitofauti umtengeneze km alivyo na hipusii lake
Cake iwe ya laki 2
Itabidi mwezi mzima nianze kuidesign
Iwe standard kama udugu ake Mkemia Mkuu.
 
Chino wangu 😘😘😘
Ulikuwa wapi beibbyy?? Udugu kanitukana 😭😭😭😭😭
Mimi sitaki uwifi naye tena, kwanza mchape mnywanii kwann anitukane πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnywani mtayamaliza tu inshallah.

Kitoto kizuri weye.
Chino na haki ya kupagawa tu maninah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…