Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,397
ππππ Yani unavyokuza jamaniβ¦
Hapo nilipokea pesa ya kikoba ndio nikanunua na kufanya shopping mahi wala usiogope
Can i see that wedg.....[emoji23]Wedges [emoji23][emoji23][emoji23]
Ww kuna kitu umegundua. Akiniruhusu naweka picha yake flan hiviWatu wabaya sana
Ukisikiliza stori zako unaweza dhani wote tupo Tandika.
kumbe!
Hivyo viatu hata mwendokasi haviwezi kupanda.
Mfyuuu ππππCan i see that wedg.....[emoji23]
Kwanza ngoja nifute hiyo video sitaki ipandishe watu visirani bure πππ
Weka tu mheshimiwa shemejiWw kuna kitu umegundua. Akiniruhusu naweka picha yake flan hivi
Wakoje? πππWeh
Wacheza vicoba hawapo hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenda uko
Haya hiyo hapo
ππππ Anna ntakuchapa ujueWeka tu mheshimiwa shemeji
Ruhusa ataitoa mbele ya safari.
Usitutisheππππ Anna ntakuchapa ujue
ππππHee
Video inawekwa na sijaona hapahapa
Leo nafunguka, I'm sorry lamomyAisee
Kumbe watu tunabishana na matajiri humu bila kujua
Ila mimi niliwaona hamna mbambamba mlivyoniungisha
maneno kidogo pesa inaongea.
anaishi wapi huyu tajirii anipe koneksheni hata ya udobi.
ππππ
ππππ kwahiyo ndiomana unatamba??Usitutishe
Uzuri huwezi kumtisha shemeji tajiri
ππππ wewe utafanya uzi ugeuke wa comedy huu sasa..!!Leo nafunguka, I'm sorry lamomy
Anaishi Mbweni
Mfanyabiashara mkubwa kkoo, namaanisha mkubwa kweli kweli. Wholesaler wa........
Pia mfanyabiashara mkubwa wa pharmacy na pia cosmetics
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Tuonane kesho
Ishapita hiyo ππππHebu irudiwe
Itel yangu ni chenga sana
Hapahapa nipo na sijaona
Leo nafunguka, I'm sorry lamomy
Anaishi Mbweni
Mfanyabiashara mkubwa kkoo, namaanisha mkubwa kweli kweli. Wholesaler wa........
Pia mfanyabiashara mkubwa wa pharmacy na pia cosmetics
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Tuonane kesho
Anto akienda gym atanougaa balaaa!! Sema ye problee ni kitampiiii kumbuka kashatotoa wawili tayari lakini mwanamke ukijifungia wenye miili ya kufumuka kitambi hakiepukiki obese sio poaaaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€Antonnia nikimuweka gym miezi miwili namrekebisha body structure
Nampa na brain activator, namrudisha hapa alafu namuambia anza kupambana
Ishapita hiyo ππππ
ππππ Sasa ndio afanane jina na mimi huyo cuteβ¦β¦Nilijua tu kuwa huyu atakuwa tajiri
Nilikuwa namlinganisha na dada Fulani hivi naye ni mfanyabiashara mkubwa Kariakoo...trip zake za china huko..
Sasa namna huwa anapost status na jokes za hapa na pale unaweza dhani mwenzetu maana anachat hadi na sisi makapuku,hanaga hiyana kumbe!
Hela anayo na wala huwa hajitapi
Tone yake inaendana sana na cute..na nilikuwa nadhani ni yeye.
Ila alivyopost picha naona siyo yeye.